moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Safiii
Nimetumia Sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani mimi muhenga jamani [emoji23]Mh!! Ni muhenga kweli huyo??
Nunua sabufaNimetumia Sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nitengeneze tena kama hii.
[emoji23][emoji23]Jirani mimi muhenga jamani [emoji23]
Hadi sasa ninazo hizo kanda, nataka tafuta kiredio sasa,kama unacho naomba??
ImeharibikaNunua sabufa
Kwa kuongezea tu, kulikuwa na sehemu ya kuminya kwenye redio..wakati kanda ikiendelea kuzunguka tulikuwa tunajirekodi tunaimba imba..dah sijui nitoe wapi redio nisikilize Kanda hizi[emoji23][emoji23]Asante sana muhenga mwenzangu
Watu wananishangaa mi kuendelea kukaa na hizo kanda 😂Jirani mimi muhenga jamani [emoji23]
Hadi sasa ninazo hizo kanda, nataka tafuta kiredio sasa,unacho ?? Naomba
Mimi ninazo nyingi,ni vile tu sina hiyo kaseti.Watu wananishangaa mi kuendelea kukaa na hizo kanda [emoji23]
Nimegoma kuzitupa