Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana
Wewe mzee usiejiheshimu wala kuheshimu mabinti zako jiheshimu na uwe na akili. Umepita hapa kona ya Lumumba karibu na stendi ya posta Mwanza mjini na kigari chako cheusi ulikua unaenda uelekeo wa my hotel, ndani ya gari mlikuemo watu wawili halafu nyote ni wazee wa miaka 60+ Yaani wewe baba...