moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bro kwema
Kwema mkuuBro kwema
Umepotea mkuuKwema mkuu
Huyo jamaa kanichekesha sana[emoji16]Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana
Wewe mzee usiejiheshimu wala kuheshimu mabinti zako jiheshimu na uwe na akili. Umepita hapa kona ya Lumumba karibu na stendi ya posta Mwanza mjini na kigari chako cheusi ulikua unaenda uelekeo wa my hotel, ndani ya gari mlikuemo watu wawili halafu nyote ni wazee wa miaka 60+ Yaani wewe baba...www.jamiiforums.com
dume keyboardHuyo jamaa kanichekesha sana[emoji16]
Mkuu Baba Chicco aka mkoreadume keyboard
naam muheshimiwa maldiniMkuu Baba Chicco aka mkorea
Una maana gani baba chicco[emoji23][emoji16]dume keyboard
huyo jamaa aliyeshuhudia mkasa huo, ameshindwaje kuomba namba kwa binti wa sekondari.Una maana gani baba chicco[emoji23][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]labda alimaanisha kumkanya huyo mshua kwa kitendo chakehuyo jamaa aliyeshuhudia mkasa huo, ameshindwaje kuomba namba kwa binti wa sekondari.
cha ajabu amekuja kuanzisha thread huku kusikohusika na tukio
ikiwa huyo mzee anamiliki account humu ndani basi taarifa ataipata.[emoji16][emoji16][emoji16]labda alimaanisha kumkanya huyo mshua kwa kitendo chake
Itakuwa vyema akiipata ili ajue hakuwa sawa[emoji106]ikiwa huyo mzee anamiliki account humu ndani basi taarifa ataipata.
nadhani muanzilishi wa thread ameilenga jamii nzima juu ya matendo maovu mfano wa hayo aliyoyashuhudia
wewe jamaa uliyeanzisha thread dhidi yangu, tafadhali kuwa makini na hivyo vithread umbeya.Itakuwa vyema akiipata ili ajue hakuwa sawa[emoji106]
Dida,Paul Maldini, Jaap Stam, Nesta, Cafu, Gattuso.naam muheshimiwa maldini