myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SafiiiiMugongo mugongo
View attachment 1659015
SawasawaLikes kwenye uzi wa likes ndiyo habari ya hapa
Duh wapi hiyo
Pole sana.Christmas ya 2017 ikiwa siku yangu ya kuzaliwa tulikuwa tukipigania uhai wa baba yangu, hatukufanikiwa, sikukuu ikawa huzuni.
Pole sana Anko, nayakumbuka mapito yako ya mwaka fulani...
Pole Mzee wa pwani, duniani tunapita.
Duh wapi hiyo
Tafiti: Wanaume wanaokula mara kwa mara korosho husaidia kuongeza ubora wa mbegu zao za kiume.
Duh.....
ππππππasante BAK. Sio kwa maandalizi hayo ya koroshoKaribu korosho Numbisa π
ππππππasante BAK. Sio kwa maandalizi hayo ya korosho
Pole pia anko. Maisha yana fumbo na mafunzo mengi. Wapumzike kwa Amani wapendwa wetu. AmenChristmas ya 2017 ikiwa siku yangu ya kuzaliwa tulikuwa tukipigania uhai wa baba yangu, hatukufanikiwa, sikukuu ikawa huzuni.
Pole sana Anko, nayakumbuka mapito yako ya mwaka fulani...
Pole Mzee wa pwani, duniani tunapita.