Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Duuu, pole sana.
Mi nilipoteza mama mlezi (maodo), mdogo wangu, mama mzazi,kakazagu, wawili wote wamefariki mwezi Septemba miaka tofauti.
Asante sana.Pole sana moudy
Mtoto ana sura ya mamake
Jamaa anaanza kuwa muhenga sasa
Wacha wee, mambo ya Krismass hayo[emoji23]
Kweli anko miaka fulani nilipoteza ndugu 24 na 25 na 26 December kwa kufatana miaka ila ndo hivyo tumeshazoea na kuufurahia sikukuu kama sio sie tulikua kwenye majonzi.
Tunasherehekea sikukuu na universal hapo hapo
Christmas ya 2017 ikiwa siku yangu ya kuzaliwa tulikuwa tukipigania uhai wa baba yangu, hatukufanikiwa, sikukuu ikawa huzuni.Duuu, pole sana.
Mi nilipoteza mama mlezi (maodo), mdogo wangu, mama mzazi,kakazagu, wawili wote wamefariki mwezi Septemba miaka tofauti.