Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-12-25 Instagram.png
 
Ahsante Anko.
Ni siku ya kumbukumbu nzuri na mbaya... Ibada njema itawale nafsini mwetu tuumalize mwaka salama[emoji120]
Kweli anko miaka fulani nilipoteza ndugu 24 na 25 na 26 December kwa kufatana miaka ila ndo hivyo tumeshazoea na kuufurahia sikukuu kama sio sie tulikua kwenye majonzi.

Tunasherehekea sikukuu na universal hapo hapo
 
Duuu, pole sana.
Mi nilipoteza mama mlezi (maodo), mdogo wangu, mama mzazi,kakazagu, wawili wote wamefariki mwezi Septemba miaka tofauti.
 
Back
Top Bottom