moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yaani konokono anang'ata !!Konokono ana zaidi ya meno 14,000.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1658779
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maiti ya mwanaume aliyekufa kwa kunyongwa huwa ina uume uliosimama. Hali hiyo inaitwa "Rigor Erectus au Death Erection.
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂hujawahi onaaaaaYaani konokono anang'ata !!
Meno ya "konokono"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana mdogo Yegomasika popote ulipo [emoji137][emoji137]Salaam za Krismass toka kwa mchizi wetu anayeishi kisiwa cha Ukara, Ukerewe Mwanza.
Msione vyaelea ziwani mjue ni mali za watu View attachment 1658756
Heri ya Christmas pia mzee wa liverHapo sasa
Heri ya Christmas Numbi
Kwema, hali yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana mdogo Yegomasika popote ulipo [emoji137][emoji137]
Yaani wewe ndiye umenifumbua macho nione [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi onaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂Yaani wewe ndiye umenifumbua macho nione [emoji1][emoji1]
Heri ya sikukuu Anko.
Sherehekeni salama, mabaya yawapitie mbali
Mungu ni mwema.Kwema, hali yako.
Heri ya Krismass mzee mwenzangu
Ahsante Anko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen.
Heri ya sikukuu pia anko na familia nzima
Amin[emoji120][emoji120]Mungu ni mwema.
Mungu atujaalie tumalize mwaka salama [emoji120]