Mbegu ya kiume ya zamani zaidi iligunduliwa na wanasayansi wa Sweden ikiwa imeganda kwenye barafu barani Antarctica. Mbegu hiyo ina umri wa miaka zaidi ya milioni 50.
Filamu ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani ilikuwa ni Sallie Gardner at the Gallop, ilitengenezwa mwaka 1878, inaonesha tu jamaa akiwa amepanda farasi. Filamu ya kwanza yenye hadithi ilikuwa ni The Story of Kelly Gang, ilitengenezwa mwaka 1906.
KUMBUKA: Televisheni ya kwanza ilitengenezwa mwaka 1925.
Andre Stander, askari wa zamani wa Afrika Kusini alikuwa anavamia benki na kuiba pesa mara kwa mara kisha baadaye anarudi kwenye tukio kama askari upelelezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.