Pua za wanawake zina uwezo mkubwa zaidi wa utambuzi na kutofautisha pia harufu mbalimbali kwa haraka kuliko wanaume, Sababu inatajwa kuwa wanawake wana uwepo wa seli nyingi zaidi zinazosaidia utambuzi wa harufu kuzidi wanaume.
Nazi inaweza kusababisha kifo chako. Nazi inayoanguka yenyewe huweza kufikia spidi ya mpaka Km 85 kwa saa, Hii inamaana nguvu inayotumika nazi inapofika chini ni sawa na uzito wa tani moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.