Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
Wapenzi wa yanga wapo wengi sana kwenye hii thread lakini wanakuogopa...Yanga oyee
😂😂😂haiwezekani bhana...hivi unajua dera kwangu ni kinjunga 😎😎🤣🤣🤣🤣 wewe mrefu kunishinda mimi? Weka number zako 😜 hujawahi kulijaribisha unaweza ukatokelezea ile mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣
na kwako pia bwana liverpool.Marry Christmass Mkuu
😂😂Jamani usimseme abui wangutulia weweeeee!!!!
nilituma mahari huko kwenu ukanikatalia kwa sababu ya yule abui.
utanijua mimi ni nani
[emoji23][emoji23][emoji23]We mpemba, ramli chonganishi uneanza lini[emoji23][emoji23][emoji23]
huenda muda huu ameshalala baada ya kucheza games mchana kutwa😂😂Jamani usimseme abui wangu
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapenzi wa yanga wapo wengi sana kwenye hii thread lakini wanakuogopa...
ngoja siku ya kusherehekea ubingwa ushuhudie vibe lao
Numbisa
The Happiness
babu andjul
wote yangaaa
kwa tafsiri ya haraka ni kwamba bado hawajaamini muelekeo wa timu yao.Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawaogopi ila hawana cha kusema
😂😂😂haiwezekani bhana...hivi unajua dera kwangu ni kinjunga 😎😎
Hahahahahahha, duu.kwa tafsiri ya haraka ni kwamba bado hawajaamini muelekeo wa timu yao.
naamini siku ya kutangaza kwao ubingwa watakutafuta kwa tochi
huenda muda huu ameshalala baada ya kucheza games mchana kutwa
Dah nilimpoteza mmoja mkuuna kwako pia bwana liverpool.
twins hawajambo?