Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawatangazia kuwa Ndugu yetu Uniq kwa hiari yake pasipokurubuniwa, kutishwa, kulazimishwa kuanzia sasa kaamua kuacha kumsumbua bibi wa wenyewe babe s,
Anafuta semi zote na kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkwaza wakati wa kutaka kulazimisha uhusiano ambao haukuwepo wala hajawahi kumuona huyo babe s,
Alikuwa na malengo ovu kwa kutaka kumharibia babe s kwa Ho chi mihn wake ampendaye.
Leo tarehe July 8 2017.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…