uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Ho chi minh ana lake anatafutaHahaa naona kapona na kaja na mazawadi anataka kumpa babe s
Ho chi minh ana lake anatafutaHahaa naona kapona na kaja na mazawadi anataka kumpa babe s
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha chunwa chunwaaa...
Mzee mwenzangu usiniangushe maana na wewe ukifail basi ujue kambi yetu wote tunaenda kuabikaNilikwenda kutafuta zile zawadi tulizokubaliana kuwa wazipenda!
Hasa ile nyeupe utapenda mwenyewe.
Sasa nimeamua kukupa kila hitaji la moyo wako.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Msubirie nanihi...labdaKuachwa kwangu nimeona sherehe kwa watu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nisubiri huruma ya mtoto humu kwenye uzi anipende nami
Babe S ndie wa mwisho na Dada yake yupo humu humuAu tukupe mdogo wa babe s atakufaa tu kuliko kukoswa kabisa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahhaaahah[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siku hazirudi nyuma
MkuuNdo tabia gani hii ya kutopeana likes wakuu
Bwana kwangu ilikuwa poa shamba kidogo na sasa nimerudi mjiniNamshukuru Mungu siku imeenda vizuri,sijui kwako mkuu