Hahaha....nilikua namuulizia tu...Na wewe unamtaka wanini utalala mzungu wa nne leo!!!!
Ndio mkuu wenye ndoa zao wameenda kuzitumikia.Wakuu, mmelala?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Waaow nawait kadi ya pilau
Nipo nasubirisubiria 130k mkuu
Nilikwenda kutafuta zile zawadi tulizokubaliana kuwa wazipenda!Leo sijamuona ho chi Minh.......
Yaani kichwa anakaribia kufa kwa madongo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Andjul utamuua mzee bichwa ChafU
Thanks love...... Ujumbe huu ukufikie Andjul popote ulipo na Ho chi minh.... Mafisi wa uziNitawaelezea usijali hun...
Yani wewe Carba....Kashaingia humu utamuona tu