ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Leo hajabahatika kupata muda wa kutosha,Uniq ndani ya nyumba...wapi ho chi minh
Amefurahi kuona uzi unakimbia speed ya mwanga.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Leo hajabahatika kupata muda wa kutosha,Uniq ndani ya nyumba...wapi ho chi minh
Hakuna tatizo mental mwenzangu.Nitaamka alfajiri kuwapa likes kama kawaida
AMUN RABut my Queen ISIS nakutakia Good night
Tuna shukuru kwa kutukumbukaMimi niko poa kabisa naona umekuja na uniq...karibuni tuliwakumbuka
Hahaha....lol!Andjul usichekw na kukimbia naona kuna vidume vinajifunzia kutongoza kwa Babe S wangu.
Kula likes utulie[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari
Na wewe unamtaka wanini utalala mzungu wa nne leo!!!!Leo sijamuona ho chi Minh.......
[emoji23] [emoji23] vikopa vimehamia kwangu lolNdio zipo kwenye keyboard yangu.
Ila ukirudisha siku 4 nyuma keyboard ilikuwa na vikopa tu
Numbisa anataka aone vita vya baba na mwana,sasa uzee wangu huu nitakuwezea wapi kijana wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Numbisa unapenda vita kumbe
Mkuu naona saivi unafurahi tu mi kuachwa na totoz.Kwangu ilikuwa ngumu sana,maana alinidhalilisha,ikabidi niingie kwenye maombi.Yamejibu sasa,kwisha habari yake
Huu uzi walahiMchina ndani ya nyumba
Nitawaelezea usijali hun...Waambie wewe ni mama yao
Kashaingia humu utamuona tuLeo sijamuona ho chi Minh.......
Hakuna tatizo kichaa nipo kichaa naendelea kusambaza upendoMy friends good night
Good nightGood night my friends