Unavutwa na niniuzi hautembezwi unavutwa
Mzee wa ikwiriri
Kula likes na walahiHuu uzi walahi
Hahahahahah.......[emoji2]Na sinzia wapi na wabaya wangu wametanda uzi mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo tunapendana tu hapaUshafika sasa,leo ni kulembana tu kama tamthilia ya kikorea
Kula likes za vita vyenu hivyoNumbisa anataka aone vita vya baba na mwana,sasa uzee wangu huu nitakuwezea wapi kijana wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
SalamaSalama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vice versa is trueLbda wanajua Niko sekondari.....teh teh
Wivu tuuuMhhhh!!
Hamna namna[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] vikopa vimehamia kwangu lol
OkSalama
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siku hazirudi nyumaNdio zipo kwenye keyboard yangu.
Ila ukirudisha siku 4 nyuma keyboard ilikuwa na vikopa tu