Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Daaah acha tu yaan kumpata tulizo la moyo wako ni raha sanaUshafika sasa,leo ni kulembana tu kama tamthilia ya kikorea
Daaah acha tu yaan kumpata tulizo la moyo wako ni raha sanaUshafika sasa,leo ni kulembana tu kama tamthilia ya kikorea
[emoji125] [emoji125] [emoji125] cole mpaka aliumwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kumbuka alivyo tutesa kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nqkuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Namshukuru Mungu siku imeenda vizuri,sijui kwako mkuuPoa ndugu inakuwaje
Mnatembeza uzi balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zako za usiku unazijua mwenyeweMbona unatuaga mara mia mia hebu lala utulie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ho chi minh kelele za churaHiyo ni mistari ya kujifariji[emoji125] [emoji125]
Katika vitu vinavyonipa raha ni kuona unanitakia mema ya dunia hasa kwa babe s.Mchina naona mapenzi moto moto usiachie hapo.
Baada ya kuachwa ndio nimejua vizuri
Hizo hapo tele..Ndo tabia gani hii ya kutopeana likes wakuu
Kwa furaha ukaubugia gizan pole jamanSawa.
Basi nilipewa ubuyu uliooza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh kapata totoz nini maana naona parablesMkuu wewe ni ndugu yangu,sitakuacha kipindi hiki.Tupo pamoja,ulipo tupo mimi na nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhahhahah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] me nilimwambia ili akaekaribu na wewe mkuu
We msogeze nsamaka tu akugeuke uje kulia hapa[emoji23] [emoji23]Mkuu wewe ni ndugu yangu,sitakuacha kipindi hiki.Tupo pamoja,ulipo tupo mimi na nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tchaaaaa!!!!Nilikwenda kutafuta zile zawadi tulizokubaliana kuwa wazipenda!
Hasa ile nyeupe utapenda mwenyewe.
Sasa nimeamua kukupa kila hitaji la moyo wako.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tulizozungumza juzi usiku pale tulipokaa sana.Zawadi gani hizo.....!?????[emoji12] [emoji12]
ho chi minh hizo zawadi gani wakati umezama mtoni ulisema nisiseme.Hahaa naona kapona na kaja na mazawadi anataka kumpa babe s
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thanks love...... Ujumbe huu ukufikie Andjul popote ulipo na Ho chi minh.... Mafisi wa uzi
Hahahhahah Carbamazepine tuma namba yako kwa Babe S upate vocha kwajibu hilo.Wivu haujawahi kumuacha mtu salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwite nsamaka mje mbebishane
[emoji482] [emoji482]Nqkuona ujue