Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
Tumempa nini Mungu ili tuzidi kuishi katika dunia hii ? Wangapi wametutangulia mbele za haki baada ya kufariki mwaka huu ?
Asante sana carba. Happy to see you hereHappy belated bday ankoo andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu.
Mungu azidi kukutunza ankoo
Mimi ni mmoja kati ya wale tunaosherehekea uwepo wako katika maisha yetu.
La muhimu Mungu akupe nuru katika macho yako uendelee kufaidi neema na mapambo ya dunia😂😂
Happy bday ankali🎉🎊😘😘
Numbisa na moudgulf poleni sana kwa mitihani iliyowakuta🙏🙏
kumbe babu andjul ndiye yesu wa hii thread?Happy belated bday ankoo @andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu
Pole mpendwa japo sijui ni mtihani gani uliokukuta dearAsante sana carba. Happy to see you here
Salaam
SalamaSalaam
Asante.Happy belated bday ankoo andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu.
Mungu azidi kukutunza ankoo
Mimi ni mmoja kati ya wale tunaosherehekea uwepo wako katika maisha yetu.
La muhimu Mungu akupe nuru katika macho yako uendelee kufaidi neema na mapambo ya dunia[emoji23][emoji23]
Happy bday ankali[emoji322][emoji323][emoji8][emoji8]
Numbisa na moudgulf poleni sana kwa mitihani iliyowakuta[emoji120][emoji120]
Pole mpendwa japo sijui ni mtihani gani uliokukuta dear