Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Happy belated bday ankoo andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu.

Mungu azidi kukutunza ankoo
Mimi ni mmoja kati ya wale tunaosherehekea uwepo wako katika maisha yetu.

La muhimu Mungu akupe nuru katika macho yako uendelee kufaidi neema na mapambo ya dunia😂😂

Happy bday ankali🎉🎊😘😘


Numbisa na moudgulf poleni sana kwa mitihani iliyowakuta🙏🙏
 
Asante sana carba. Happy to see you here
 
Happy belated bday ankoo @andjul
Mungu akupe umri mrefu,akuongezee ucheshi,afya njema,busara na kila lililo la kheri likawe juu yako.
Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika yote ufanyayo.
Uwekuwa mtu wa muhimu sana kwangu
kumbe babu andjul ndiye yesu wa hii thread?

babuu nimekuwekea mchumba wa kiarabu maeneo ya KONDE sokoni huku upembaniiii
babu fanya ukujeee na uzee wako usio utaka
 
Asante.
Nafurahi kuona uwepo wako tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…