Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutoka Dar Technical College(sasa ni DIT)mpaka kusoma uhandisi umeme Uingereza,kisha kwa miaka 20 akafundisha UDSM vyuo Norway na USA.

Pia akaongoza mashirika mengi kama vile TANESCO,TAZARA,TPDC nakadhalika.Mbunge na Waziri mstaafu Professor Mark Mwandosya leo anatimiza miaka 71.
Umri umesogea kiasi cha kutosha
 
FB_IMG_1609139759704.jpg
 
Back
Top Bottom