moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Umri umesogea kiasi cha kutoshaKutoka Dar Technical College(sasa ni DIT)mpaka kusoma uhandisi umeme Uingereza,kisha kwa miaka 20 akafundisha UDSM vyuo Norway na USA.
Pia akaongoza mashirika mengi kama vile TANESCO,TAZARA,TPDC nakadhalika.Mbunge na Waziri mstaafu Professor Mark Mwandosya leo anatimiza miaka 71.