Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
R.I.P tattooist[emoji16]
Halafu tukiitwa nyani na kutupiwa maganda ya ndizi tunalalamika eti tunabaguliwa. Sisi bado manyani [emoji51][emoji51][emoji51]
Bado. Tuombe Mungu tuuone mwaka mpya. Jinsi hii changamoto ya kupumua inavyochomoa watu, wengi tu hawatauona mwaka mpya. Molla wetu na atuonee huruma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mwaka unaelekea ukingoni
Daaa.