moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120][emoji120]Happy new year
[emoji120][emoji120][emoji120]Happy new year
[emoji120][emoji120][emoji120]Happy New Year [emoji322][emoji322][emoji322][emoji512]
Afe kipa, afe beki wife ima aokolewe au tuzame pamoja
[emoji120][emoji120]Tushukuru Mungu 2021
Uko sahihi. Hata useme kuwa ni Simba wa Madina au Mekah ni sawa tu [emoji51][emoji51][emoji51]Simba wa Yuda si Simba ya Djuda
Mkao wa kula
Kweli..Siyo wote ni matajiri.
Kuna wenzetu wako vizuri lakini hawataki hata kutusikia sisi ambao hatujafanikiwa[emoji14]
Duh...atangulie kwa amani....enzi yetu hiyoWahenga mpo.
Mnakumbuka miaka ile ya 80' pale Empire Cinema kuhusu "Breakdance 2 electric boogaloo".
Mwamba Shabba Doo ametanguliaView attachment 1664338
Sana asee.Duh...atangulie kwa amani....enzi yetu hiyo