myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏Mungu ampe nguvuHappy birthday Jenerali David Musuguri.
Miaka 101 na moja ni jambo la kushukuru.View attachment 1667586
🙏🙏Mungu ampe nguvuHappy birthday Jenerali David Musuguri.
Miaka 101 na moja ni jambo la kushukuru.View attachment 1667586
Safi sana[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1667536
Uzi umeishia hapa 😂😂Huna lolote wala chochote inachojua, ndiyo maana umechagua kuulizwa chochote.
Kuna aina ngapi za kodi za mapato inayokusanya TRABila Masihara,Niulize chochote kuhusu chochote nikujibu.....ila usifanye utani..
Umechanganya madesa kidogo hapo mkuu. Mwaka mmoja una siku 365 na robo. Ndo hizo robo zinakusanywa mara 4 kila baada ya miaka 4 unatokea mwaka wenye siku 366( zile robo zinatengeneza siku kamili) na hiyo siku ndo huwa inaongezwa pale baada ya tar 28 mwez February inakua tar 29Kwanini wanajiografia wanatuambia Mwaka mmoja mrefu una siku 356 na robo... Mbona sijawahi lala siku hafu badala ya masaa 24 ikawa ni robo siku ya masaa 6?
Asante.