Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanini wanajiografia wanatuambia Mwaka mmoja mrefu una siku 356 na robo... Mbona sijawahi lala siku hafu badala ya masaa 24 ikawa ni robo siku ya masaa 6?

Asante.
Umechanganya madesa kidogo hapo mkuu. Mwaka mmoja una siku 365 na robo. Ndo hizo robo zinakusanywa mara 4 kila baada ya miaka 4 unatokea mwaka wenye siku 366( zile robo zinatengeneza siku kamili) na hiyo siku ndo huwa inaongezwa pale baada ya tar 28 mwez February inakua tar 29

NB: Nimeongea kimahesabu, mengine sijui kwann waliamua iwe hivyo wala nn wataalam wa kalenda watakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ