Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanini wanajiografia wanatuambia Mwaka mmoja mrefu una siku 356 na robo... Mbona sijawahi lala siku hafu badala ya masaa 24 ikawa ni robo siku ya masaa 6?

Asante.
Biblia ilisha kataza kusumbukia mambo ya Dunia.
Ukute robo siku inaangukia siku watu tunakesha bar, tunajisifia tumekesha kumbe ilikuwa robo siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…