moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kicheko kufuatia ushindi wa chama pendwaPoleni mnaoendelea na kazi
Asante.Poleni mliotoka kazini
Asante ndugu, leo tulikuwa tunakula urojo kwa MkapaWakulima wote poleni
Tushafika asante sanaWasafiri woote mfike salama
Mungu awaponye InshaallahPoleni wagonjwa [emoji120][emoji120]
InshaallahMungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
InshaallahMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
InshaallahJioni yetu iwe njema [emoji120][emoji120]
Peace and loveKwa amani na upendo
Ndiyo hivyo.Duh...
AminJioni iwe njema
KweliKila mtu ana umuhimu wake
Usiku umeingiaJioni inaaga