moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dah! Tuzidi kuchukua tahadhari maana sasahivi watu tumejiachia sanaInadaiwa mke wa Filbert Bayi amefariki kutokana na COVID19. Muhimu kuchukua tahadhari zote.
Dah! Tuzidi kuchukua tahadhari maana sasahivi watu tumejiachia sana
mcheza x huyu😁😁Siku hazigandi ...
View attachment 1654856
VP wale mafisi tunaokaanao mabaaFisi ni scavenger na yeye hachagui msosi. Kaa mbali na fisi
Fisi kala fisiView attachment 1671865
😮😮😮Period !!!
View attachment 1668188
Wanatafunana wenyewe kwa wenyewe.Kama maccm vile 😂😂😂
NDOA YAO INAPUMULIA GESI _ Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim hasa ndie anataka waachane baada ya mambo kumshinda ila anataka waachane kwa amani sio migogoro kwani wameshajaribu kwenda mapumzikoni pamoja na hata kwenda kupata ushauri maalum kuipa afya ndoa yao lakini mambo ndio yameonekana kutibuka zaidi Kim tayari ameripotiwa kumchukua mwanamama Laura ambaye Ni mwanasheria maarufu wa migogoro ya mastaa ili aweze kumsaidia suala hilo kuimaliza ndoa kwa amani
Asubuhi ya supu