Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

F70908D8-B7C8-4770-8666-3629313873D5.jpeg
 
Naam Mkuu maana madongo ya kule anayopigwa nayo JIWE ni heavy humu THUBUTU utaishia kupigwa ban ya milele eti umemtusi JIWE 😂😂😂😂😂😂Mie nafurahia sana uwepo wa Twitter maana imekuwa kama mkombozi kwa sisi warusha madongo kwa JIWE.
[emoji16][emoji16][emoji16] ndo maana wanaishusha Twitter

VPN for life
 
Naam Mkuu maana madongo ya kule anayopigwa nayo JIWE ni heavy humu THUBUTU utaishia kupigwa ban ya milele eti umemtusi JIWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nafurahia sana uwepo wa Twitter maana imekuwa kama mkombozi kwa sisi warusha madongo kwa JIWE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuendeleee kupeperusha bendera ya #MitanoTena haka kamsemo Mod kinawakera sana Sijui Nani kakianzishaa

#Niyakwetusote
 
Back
Top Bottom