Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam Mkuu maana madongo ya kule anayopigwa nayo JIWE ni heavy humu THUBUTU utaishia kupigwa ban ya milele eti umemtusi JIWE 😂😂😂😂😂😂Mie nafurahia sana uwepo wa Twitter maana imekuwa kama mkombozi kwa sisi warusha madongo kwa JIWE.
[emoji16][emoji16][emoji16] ndo maana wanaishusha Twitter

VPN for life
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuendeleee kupeperusha bendera ya #MitanoTena haka kamsemo Mod kinawakera sana Sijui Nani kakianzishaa

#Niyakwetusote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…