JINSI YA KUTUNZA NYWELE NATURAL🌸
Nywele natural ( ambazo hazijawekwa relaxer) zikawa au ndefu, kama zinatunzwa vizuri huwa zinafutia. Na kama ukisuka, nyoa au kuzitengeneza kwa style itakayoendana na kichwa chako, utapendwa sana.
Kutunza nywele natural na zilivzowekwa dawa ni vitu viwili tofauti hivyo zingatia yafuatayo ukitaka nywele zako natural (ndefu/fupi) ziwe katika ubora unaotakiwa;