Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2021-01-12 Instagram(1).png
 
mwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.

  1. The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
  2. Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
  3. myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
  4. moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
  5. @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mcheza gemu ana akili copiraiti na kanye west acha auntiee ageuke kim
 
mwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.

  1. The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
  2. Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
  3. myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
  4. moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
  5. @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
Hahahahah

Naona uko na stress za HESLB, na tuko busy kumalizia kuaandaa Loan Repayment Portal kietronikiti kabsa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mcheza gemu ana akili copiraiti na kanye west acha auntiee ageuke kim
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah
 
mwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.

  1. The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
  2. Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
  3. myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
  4. moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
  5. @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
Hebu lete kwa uchache historia ya ufalme wa Oman namna ulivyopata nafasi ya kuitawala Pwani ya Afrika mashariki na hatimaye Zanzibar.
Pia eleza kwa uchache sababu zilizomfanya Sultan Sir Jamshid bin Abdullah al Said baada ya mapinduzi kukimbilia Uingereza badala ya kwao Oman

Karibu kiongozi
 
Back
Top Bottom