D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Aisee kwema mpendwahii JF na vituko vyake
muda huu nimeshuka kwenye mkarafuu nikapatwa na wazo
ila taavid kumbe ni dumeee
- huenda taavid ndiye fragaria
- huenda taavid ndiye hawachi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mcheza gemu ana akili copiraiti na kanye west acha auntiee ageuke kimmwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.
- The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
- Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
- myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
- moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
- @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
No no
Kwa hiyo hutaki? Sisi wanaume tunajua vile tunafeel tukitoswa!No no
They never say no because they know they have nothing to lose
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo hutaki? Sisi wanaume tunajua vile tunafeel tukitoswa! Sio poa kabisa ..
Hii ndio sababu naunga hoja post.
Hahahahahmwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.
- The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
- Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
- myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
- moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
- @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mcheza gemu ana akili copiraiti na kanye west acha auntiee ageuke kim
Hebu lete kwa uchache historia ya ufalme wa Oman namna ulivyopata nafasi ya kuitawala Pwani ya Afrika mashariki na hatimaye Zanzibar.mwaendeleaje humu ndani?
bado nipo zizini kwetu Pemba, nimeshapata wachumba 20 mpaka muda huu lakini nimewaambia nitarudi 2026 panapo uhai (nina deni refu la HESLB).
atakayenisubiri ndiye nitakayemuoa.
- The Happiness waendelejeaje mjinga wewe uliyeachwa na mcheza gemu
- Numbisa anaendelea kula raha, miaka 10 hii hata kiwanda cha kutengenezea vocha kitawekwa kwao Chatoooo
- myoyambendi bado ana deni la HELSB, cha kusikitisha amebakisha miaka miwili kustahafu kazi na pensheni yake haizidi millioni 50, deni lake ni millioni 20........babu myoya mitano tenaaa
- moudgulf amegeuka kinyonga, kilimo yeye na madini yeye......wewe mzee njoo uongeze mke wa tatu huku PEMBA.
- @Ningendako alivamia mwanamke asiyemuweza, mwanamke muda wote yupo klabuni kama kisoda cha chupa ya bia...... now ameamua kuwa muhubiri wa dini....
Goal kubwa sana hili😎