Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
viazi vitamu huboresha afya ya moyo na husaidia kuzuia maradhi ya moyo!
Kumekuchaa tena Seoul😀😀....Nilihamia kwa Nigendako Breaking badThe Happiness geuka dokta huku kwa dr romantic teacher kim part 1 na 2 utaenjoiiiiiiii
Huyo mwigizaji wa Tamthilia huko southafricaHivi huyu jamaa wa upande wa kulia ni nani? Namuona kila mahali anashangaa
Aaah ok sawa Numby, ametrend sanaJamaa mmoja tu sijui mkenya au mtanzania alikua zake beach akishangaa mandhari picha ikawabamba wengi wakaiwekea meme na kuwa maarufu
[emoji7][emoji7]
Ok shukrani TH...Huyo mwigizaji wa Tamthilia huko southafrica