Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
5. Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na kupunguza kiwango cha gesi tumboni.Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa mara.Unachotakiwa kufanya ni ;Kuendelea kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.