myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SafiiiShughuli zinaendeleaView attachment 1679840
Usinambie..!![emoji852]Miongoni mwa faida za supu uwezo wake wa kupunguza kasi ya kuongezeka uzito wa mwili.
eti drinki [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Urojo nao ni supu.!!?Supu hutengenezwa kwa kuchanganya vyakula mbalimbali ambavyo kwayo kwa kawaida mtu hawezi kuvila.
Nipo... nakulaga meal zako kwa macho
Chrome
Hah, Nakuonaga unalinda bustani yako😄Nipo... nakulaga meal zako kwa macho
Chrome inapendeza kwa Pc, mi nataka ya androidChrome
😂😂Hah, Nakuonaga unalinda bustani yako😄
Umehama ios 🤪Chrome inapendeza kwa Pc, mi nataka ya android