Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani yeye anaitwa George, na watoto wake wakiume wote watano aliwapa jina hilo hilo la George.


Jamaa alikuwa mmoja wa mabondia wakubwa duniani akipigana kati ya mwaka 1969 hadi anastaafu mwaka 1997. Alipigana mapigano makubwa 81, kushinda 76 na kupoteza 5.
 
Tanzania na Kenya ni miongoni mwa nchi zinazotumia lugha ya kiswahili lakini katika noti kuna neno ambalo wametofautiana ambalo ni Bank katika noti ya kenya wameandika "Banki" na Tanzania wameandika "Benki" kwa wanaojua kiswahili fasaha nani aliyesahihi.
 
Kama ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii kwasasa utakuwa si mgeni kwenye mchezo mpya unaotamba kwasasa maarufu kama Charlie Charlie challenge ulioanza mwaka 2015 na hatimaye kurudi tena mwaka huu 2021,

mchezo ambao watu wanauhusisha moja kwa moja na ulimwengu wa kishetani.Inaaminika kwamba jina hilo ni la mizimu kutoka nchi ya Mexico ijapokuwa watu wa Mexico wanakanusha kutokuwa na jina la aina hiyo.

Mchezo huo umekuwa ni wa kuogopesha kiasi cha kupelekea baadhi ya nchi kupigwa marufuku.

Mchezo huo umekuwa ukichezwa zaidi mashuleni na vyuoni, ambapo inaripotiwa wanafunzi wengi wanashuhudia mambo yasiyo ya kawaida yakitokea pindi wanapocheza mchezo huo kama watu kudondoka ghafla, kutapika na hata vifo.

Viongozi mbalimbai wa kidini akiwepo aliyekuwa kiongozi wa dhehebu la kievangelisti Marekani

Bill Graham walijitoa kupaza sauti kuwasihi wazazi kuto waruhusu watoto wao kushiriki katika mchezo huo kwani unahusisha ulimwengu mwingine wa kiroho na wafu na unaweza kumdhuru mtu mmoja kama si wote.
 
IFAHAMU SHULE YA BEI KUBWA ZAIDI DUNIANI.Shule ya bei kubwa zaidi Duniani inaitwa Instut Le Rosey ambayo ipo Switzerland, ada ya Mwanafunzi mmoja kwa mwaka sio chini ya USD 117,434 ambayo kwa Tsh. ni kama Milioni 272 Unaambiwa ukiachia mazingira mazuri.

Shule ipo karibu na Ziwa, ina madarasa 50, Maabara 8 za Sayansi, Theater na kila asubuhi Wanafunzi hupata breki ya kula chocolate

Ukiacha masomo, Wanafunzi hufundishwa kucheza golf, kutumia farasi, wanacho chumba maalum kwa ajili ya muziki na studio kwa ajili ya sanaa nyingine Wanafunzi wanaweza kujifunza kwa lugha mbili ambazo ni Kiingereza na Kifaransa ambapo pamoja na kwamba ni Shule ya bei ghali lakini wanausambaza upendo mwingi kwa Afrika ambako wamejenga Shule kwenye nchi ya Mali
 
Back
Top Bottom