Tafakari yetu leo inahusu WEWE NI SEHEMU YA MFUMO ?Karibu kila kilichoumbwa duniani ni sehemu ya kingine , kwa hiyo tuseme hata sisi binadamu ni mfumo. Lakini kabla sijaingia kwa binadamu embu tuangalie mfano rahisi wa MLANGO.
Huo mlango pia usingekuwepo kama kusingekuwepo ardhi au sakafu hapo chini. Mlango wenyewe tuu umeundwa na vitu vingi kama kitasa au komeo, pia kulihitajika misumali n.k.