Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pengine hata wewe umewahi kuutumia tena bila hata kutafakari maana yake hasa ni nini, kwani utaishije maisha yako, wakati upo bize unayatafuta hayo maisha ? Si wewe peke yako, wengi wamekumbwa na hali hii kwakuwa tumefundishwa na kuaminishwa katika jamii zetu kutokuishi maisha yetu.
 
Angalia matangazo ya biashara yanavyokuhamasisha kununua bidhaa fulani fulani. Angalia mfumo wetu wa elimu unavyoandaa watu kuwa wa aina fulani bila kujali kuwa tupo wa aina tofauti tofauti, tuna mahitaji tofauti na hata uwezo tofauti wa kiakili, n.k
 
Hivyo unajikuta na wewe umekuwa wa kuiga, umejifunza kujikataa, umejifunza kutokuangalia nini hasa unataka, bali nini haswa marafiki, ndugu na jamaa wanataka au wanategemea wewe uwe vipi. Halafu ukiitafakari hali unaona ni kama vurugu kwani hakuna anayeishi maisha yake.
 
Wewe nawe una mtoto wako au utakuwa na mtoto, tayari unawaza vile unavyotaka mtoto wako awe. Hali hii inakufanya uogope kuwa tofauti. Umetoa kafara mipango yako mingi, umeacha kufanya mengi ambayo pengine una uwezo nayo au ungependa kujifunza.
 
Kagongwa Isaka yapata maji toka Ziwa Victoria
FB_IMG_1611944618380.jpg
FB_IMG_1611944612883.jpg
 
Back
Top Bottom