myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend imeanza..
Mungu atupe siku njema 🙏🙏
Mungu atupe siku njema 🙏🙏
Duh..Polisi nchini Japan wamemkamata mwanamke mmoja baada ya mwili wa mama yake kukutwa kwenye jokofu nyumbani kwake.
Yumi Yoshino, 48, amesema kuwa alimkuta mama yake akiwa amefariki kisha aliuficha mwili wake miaka 10 iliyopita kwa sababu '' hakutaka kuhama'' katika nyumba waliokuwa wakiishi mjini Tokyo, vyombo vya habari vimeripoti, vikinukuu maafisa polisi ambao hawakutajwa majina yao.