Paris St-Germain wana hamu ya kuwaunganisha tena kocha Mauricio Pochettino na kiungo wa Tottenham Dele Alli, 24, huku timu hiyo ya Ligue 1 ikiwa na imani kwamba Muingereza huyo atataka kukaa kwa muda mrefu mara tu atakapokuwa na uzoefu na klabu.(Eurosport)