Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hoho nyeupe.

Wakuu karibuni shambani kwetu[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]View attachment 1694767
Mnachezea DNA za mimea lakini mkiambiwa mtwangwe chanjo zenye virusi vilivyobadilishwa DNA mnaanza maneno. Mnajua madhara ya kufakamia mavyakula haya yaliyobadilishwa DNA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…