moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kila kitu mkuu[emoji23]Imo hiyo kunyonya puaView attachment 1694835
Kila kitu mkuu[emoji23]
Waziri wa Afya Doroth Gwajima akiwaongoza maofisa wa serikali kunywa dawa maalum ambayo ni tiba rishe yenye kinga za magonjwa mbalimbali ya kuambukiza, dawa ambayo inazalishwa hapa Tanzania.View attachment 1694308
Siasa zikitawala mpaka kwenye mambo yanayohusu sayansi ni hatari. Trump alifanya huu utopolo akagoma kuwasikiliza wanasayansi. Hata hatua za kuvaa mask tu, social distancing na kunawa mikono hakutaka kuzisikia. Matokeo yake watu laki nne (and counting) wameteketea.
[emoji16][emoji16][emoji16]jalalani!
Safii sana,,Hoho nyekunduView attachment 1694765
Kilimanjaro yetu...KINAPA Kilimanjaro View attachment 1694784