myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uzi wetu udumu..
Kuna kufuli hapo. Unanunua chupa nzima na kwenda nayo. Gas stations ndiyo wauzaji wakubwa wa vileo japo sijawahi kuelewa lojiki yake!....Nimeikuta mahali,
Unaweka petrol na kiu unakata on the spot!View attachment 1695119View attachment 1695121
AminMungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Jioni yetu iwe njema [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Wakulima poleni sana..
SafiiKinyumbani zaidi.
Asiyejua kula ugali wa muhogo shauri yake View attachment 1695198
Safiii[emoji120][emoji120]View attachment 1695279
[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1695021[emoji1787]
Aise
Bro vipi kwema