Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo amedanganya hapo bro!?
Hajadanganya kitu bro, sema huyu jamaa huwa ana mihemko ya kishabiki kuliko kuchambua soka kwa weledi mzuri

Wapo wengi sana wenye matatzo kama yake, huyu ni mmoja wao..

Kuna yule mchambuzi wa zamani sana yule mzee Rick Abdallah, kama sijakosea jina lake, huwa anaweka mapenzi pembeni anafanya kazi yake ya kuchambua soka
 
Vipi kuhusu uchambuzi wa Maulid Kitenge na wale wa Cloud Media Group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…