Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1612722505896.png
 
Kitenge yule Yanga kindaki ndaki hadi anaboa, Clouds nao wale wale... Umeshawahi kumsikiliza George Ambagile? au Joff Lea wa E fm...hawa huwa wanachambua soka na sio kuonesha mahaba ya vilabu vyao,hata Ally Mayai pia yupo vizuri sana
Ndiyo tatizo la wachambuzi wetu.
Tukubali tu.
Hata barani Ulaya tatizo hilo lipo,
Kuna siku nilikuwa namuangalia Gary Neville na Jamie Carragher walikuwa wanachambua match ya Liverpool vs Man United, utacheka bro.
Niliona ilibaki kidogo Neville ameze Kipaza sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom