Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Toka usichana na uvulana mpaka uzee.
Sasa mpaka Hijja.

Mashaallah [emoji120]View attachment 1697066
Masha Allah

Ndugu zangu, hapa Duniani tupo kwa muda tu, hatujui mwisho wetu utakuwaje, hivyo basi ni bora kufanya yaliyo mema ya kumpendezesha Muumba wetu kwani sote hatujui mwisho wetu utakuwaje...

Allah awafanyie wepesi ndugu zetu, jamaa na marafiki waliotangulia mbele ya haki!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…