Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Very true just few minutes ago I was listening to CNN and I learned that the number are below 100K as compared to 300K in January. We are talking about more than 2/3 reduction. Hopefully corona is going away for good.



Even in the US the numbers have started falling mainly because of awareness and people taking the precautionary measures seriously. The numbers are expected to fall even more when the benefits of the vaccines begin to kick in. Eventually there is a gleam of hope at the end of this nightmare [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sijui Mkuu ninafahamiana na mtoto wa Kaka yake kwa jinsi ninavyomjua angeshaweka hii kwa FB page yake nimeicheck few minutes ago hamna kitu. Sitaki kuwa wa kwanza kumpa habari mbaya kama hajaambiwa hivyo nimeuchuna na pole zangu.
Ni changamoto ya kupumua au safari ya kawaida tu?

Wanaume 50+ tuchukueni tahadhari sana. Tutakwisha aisee! Miye na 75 yangu hii yaani ni roho mkononi wallahi...Mungu na Atusaidie....
 
Sijui Mkuu ninafahamiana na mtoto wa Kaka yake kwa jinsi ninavyomjua angeshaweka hii kwa FB page yake nimeicheck few minutes ago hamna kitu. Sitaki kuwa wa kwanza kumpa habari mbaya kama hajaambiwa hivyo nimeuchuna na pole zangu.
Umefanya vyema kwa sababu mambo ya mitandaoni haya mtu unaweza kukurupuka kumbe ni hoax tu.
 
Tumblr_l_51304962130739.jpg
 
Back
Top Bottom