Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Atakuwa Kigwangalla tu hakuna mwingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nani huyo
Mkuu nini hiyo?
Ostaadhi mbona umevaa barakoa ghafla? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Even in the US the numbers have started falling mainly because of awareness and people taking the precautionary measures seriously. The numbers are expected to fall even more when the benefits of the vaccines begin to kick in. Eventually there is a gleam of hope at the end of this nightmare [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ni changamoto ya kupumua au safari ya kawaida tu?
Ni changamoto ya kupumua au safari ya kawaida tu?
Wanaume 50+ tuchukueni tahadhari sana. Tutakwisha aisee! Miye na 75 yangu hii yaani ni roho mkononi wallahi...Mungu na Atusaidie....
Umefanya vyema kwa sababu mambo ya mitandaoni haya mtu unaweza kukurupuka kumbe ni hoax tu.Sijui Mkuu ninafahamiana na mtoto wa Kaka yake kwa jinsi ninavyomjua angeshaweka hii kwa FB page yake nimeicheck few minutes ago hamna kitu. Sitaki kuwa wa kwanza kumpa habari mbaya kama hajaambiwa hivyo nimeuchuna na pole zangu.
Umefanya vyema kwa sababu mambo ya mitandaoni haya mtu unaweza kukurupuka kumbe ni hoax tu.
Salama kabisa...za kwako..nilisinzia kidogoMyoya habari yako
Kweli kbs, kuna muda hata simu zake hupokei.