Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Na Jussa...
First for Waakora!...Wakora,
Wakora waitu..
[emoji120][emoji120]First for Waakora!
Second stands for Waakora Waitu!
Hope now we are flying together.View attachment 1704657View attachment 1704659
Pole sana bro kwa msiba huu. Huko Pemba ngomeni sijui kuna hali gani. Molla na Awasaidie; na apumzike salama kamanda huyu mpigania haki na maendeleo ya watu wake ...wote wawili wameondoka na siri ya mazungumzo yao.
mwalimu nyerere na maalim seif
Kama ni Korona ndo ilikuwa inamsumbua na hapa hakuna hata barakoa maana yake nini? Halafu mtu mwenyewe ni mwanasayansi?
Vaeni barakoa nyie na kuchukua tahadhari. Tena N95 ambayo inamzuia huyu kirusi asipenye kabisa. Chezeni tu lakini taifa litaingia katika misiba mikubwa zaidi tena na tena.
AminMaalim Apumzike kwa Amani [emoji120][emoji120]
Sisi watanzania ni wababe sana mbele ya Corona.Kama ni Korona ndo ilikuwa inamsumbua na hapa hakuna hata barakoa maana yake nini? Halafu mtu mwenyewe ni mwanasayansi?
Boris Johnson alipata hii kitu. Trump. Borsanaro; na wengine wengi tena wazee sana. Wote walipona kwa sababu ya experimental therapy hasa ila ya kuwekewa plasma ya mtu aliyeugua Korona halafu akapona.
Walete hizi therapies kwa ajili yao viongozi wakuu vinginevyo nao watateteketea tu. Pathetic !!!