Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Hakuna maneno yanayoweza kutosha kuwaeleza Wanachama wetu, Wazanzibari na watanzania kwa jumla kuhusiana na uchungu wa msiba huu.
Itoshe kusema kuwa 'Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea'.

Leo asubuhi nilikuwa na jopo la madaktari waliokuwa wanamuhudumia Maalim Seif, hospital, kwakweli kidogo ameonyesha matumaini kiafya ingawa ilipofika saa 5 asubuhi ya leo akafariki"----Zitto Kabwe
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo
 
Kama ni Korona ndo ilikuwa inamsumbua na hapa hakuna hata barakoa maana yake nini? Halafu mtu mwenyewe ni mwanasayansi?

Boris Johnson alipata hii kitu. Trump. Borsanaro; na wengine wengi tena wazee sana. Wote walipona kwa sababu ya experimental therapy hasa ila ya kuwekewa plasma ya mtu aliyeugua Korona halafu akapona.

Walete hizi therapies kwa ajili yao viongozi wakuu vinginevyo nao watateteketea tu. Pathetic !!!
 
Sisi watanzania ni wababe sana mbele ya Corona.
Hakuna anayejali Barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…